VIDEO:HATIMAYE MWANAUME WA KWANZA AJIFUNGUA MTOTO KWA UPASUAJI,JIONEE VIDEO YOTE HAPA

Video
Thomas Beatie ambaye mwaka 2014 alikuwa gumzo duniani akitambulika kama mwanaume wa kwanza duniani kupata ujauzito anatarajiwa kujifungua mtoto wa tatu muda wowote kuanzia sasa.
Mwanamke aliyebadilisha jinsia na kuwa mwanaume na kisha kutambulika kama mwanaume wa kwanza duniani kupata ujauzito, anatarajiwa kujifungua mtoto wa tatu.
Thomas Beatie, alijifungua mtoto wake wa kwanza aliyepewa jina la Susan mwezi juni mwaka 2008 na mwaka mmoja baadae alijifungua mtoto mwingine aliyepewa jina la Austin.
“Ameishatimiza muda wake wa kujifungua na ameipita siku aliyotarajiwa kujifungua”, alisema mdau mmoja wa karibu na familia hiyo.
Thomas alizaliwa kama mwanamke akijulikana kwa jina la Tracy lakini mwaka 2012 alianza kutumia madawa ya homoni kubadilisha jinsia yake kuwa mwanaume lakini hakufanya operesheni ya kuzibadilisha sehemu zake za siri.
Umbile lake lilibadilika na kufanana na mwanaume huku akifuga madevu ili aonekane kama mwanaume kweli.
Alibadilisha kisheria jinsia yake kuwa mwanaume na jina lake alilibadili kuwa Thomas badala ya Tracy.
Mwaka 2014 alifunga ndoa na mwanamke aliyeitwa Nancy ambaye alikuwa ni mama wa watoto wawili aliyepewa talaka na mumewe.
Baada ya kugundua kuwa Nancy hawezi kupata ujauzito tena kutokana na umri wake, Thomas aliamua kushika ujauzito kwa njia ya upandikizaji ili familia yake iweze kupata mtoto.
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa Thomas kujulikana duniani kama mwanaume mjamzito. Alipata mtoto wa kwanza mwaka 2014 na sasa anatarajia kupata mtoto wa tatu.
Lakini sasa hii ya juzi ndiyo kali kabisa ambapo mwanaume halisi amejifungua kwa upasuaji na sasa hii hapa chini ni video husika.jionee ilivyo kuwa na nini maoni yako.

Magazine

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.