VIDEO: DIAMOND AWEKA WAZI KWA NINI AMEKUWA AKIKUTANA NA WEMA SEPETU KILA MARA#TazamaVideo

Diamond
Hatimaye Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.
Wema alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,“
Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah”alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him happiness.”
“Mi naweza kusema kwamba maybe kila kitu ni starting point and all this my work and my issues ilihitaji starting point, labda nilipokuwa kwenye mapenzi na Nasib nilikuwa blinded kuyaangalia maisha yangu na future yangu…
Diamond mwenyewe akifunguka tazama video nzima hapo chini

Magazine

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.