USHAURI: NAPENDA SANA KUSAGANA, NIFANYEJE NIWEZE KUACHA??

Msagaji
Mi nina mume wangu nampenda sana tena sana isipokuwa nina tatizo nina hisia zaidi nikiwa na mwanamke mwezangu kuliko mume wangu naona raha zaidi nikichezewa na mwanamke mwenzangu kuliko na mume. Nikiwa na mume wangu nachoka sana siwezi endelea na tendo mda mrefu nahisi nimechoka mpaka mwenzangu anahisi nna mchepuko. Hii tabia alinifundisha mama yangu mdogo.

Mdogo wa mama yangu na baada ya kupelekwa secondary Kilimanjaro ndo kabisa nikawa mzoefu. Nimejaribu kutaka kuacha Mara nyingi nimeshindwa nimeamua kuomba ushauri humu labda naweza saidiwa. Nakosa amani ya moyo nikitoka fanya na mwanamke mwenzangu moyo unauma na kujuta lakini ndo nimeshindwa acha nataka nibadilike nitulie na mume wangu niache tabia hii kama mtanitukana poa lakini kumbuka mimi nimefuata ushauri na si matusi.

Magazine

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.