JIFUNZE KATIKA VIDEO NJIA 5 ZA KUUTAMBUA MCHELE BANDIA(FAKE) WENGINE WANAITA MCHELE WA PLASTIC UNAODAIWA KUWEPO TZ

Mchele bandia
Kwa Hali Hii Tecknolojia Itatumaliza, Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamepiga hatua nyingine na kiingilia hadi kwenye vyakula.Hii ni baada ya nchi ya China kugundua mchele wa plastiki.

Mchele huo umeanza kuuzwa kwenye supermarket karibu zote nchini humo na baadhi ya migahawa pia.

Watu wengi wamelalamikia kitendo hicho cha kuuza vyakula feki lakini imekuwa ni ngumu kuzuia kwani nchi hiyo ni kubwa na ina watu wengi sana.

Kutokana na hali hiyo Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA imetoa taadhari kama inavyojieleza hapa chini, Tafadhali msiutestie moja kwa moja tumboni!

Consumers’ Tip Mchele Fake, Unaponunua mchele tafadhali chukua kiasi kidogo tia katika kikombe kisha jaza maji, tingisha mchanganyiko wa maji na mchele uone kama mchele una elea ama uko chini ya maji.

Kama unaelea basi huo umetengenezwa kwa plastic na haufai kwa matumizi ya binadamu. Kuwa makini mtumie na mwengine kunusuru afya zao.

Piga simu hii 022 245 0512 TFDA kuwajulisha umeununua wapi au polisi ili wahusika wakamatwe. Kwapamoja tuzilinde afya zetu.. @TCAS-June.2017


Pia hapa chini unaweza kujionea video namna wanavyoutengeza huu mchele bandia wa plastic

Magazine

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.